Mtandao wa Tor inategemea watu wanaojitolea kuchangia kipimo data. Kadiri watu wengi wakiendesha rilei mtandao wa Tor utakuwa bora zaidi. Mtandao wa sasa wa Tor ni mdogo sana ikilinganishwa na idadi ya watu wanaohitaji kutumia Tor ambayo nikumaanisha kuwa tunahitaji watu waliojitolea zaidi kama wewe ili kuendesha rilei.

Kwa kuendesha rilei ya Tor unaweza kusaidia kutengeneza mtandao wa Tor:

  • haraka (na kwa hivyo inaweza kutumika zaidi)
  • imara zaidi dhidi ya mashambulizo
  • imara zaidi katika kesi ya kukatika
  • salama kwa watumiaji wake (kupeleleza rilei nyingi ni ngumu kuliko chache)

Uendeshaji wa rilei unahitaji ustadi wa kiufundi na kujitolea, ndiyo maana tumeunda rasilimali nyingi ili kusaidia waendeshaji wetu wa rilei.

Shughuli za rilei

Aina za rilei kwenye mtandao wa Tor

Bridges, guards, middle relays, and exits all serve important functions in the Tor network. Learn about the different relays you can run.

Mahitaji ya rilei

Mahitaji ya rilei ya Tor hutegemea aina ya relay na kipimo data wanachotoa. Pata maelezo zaidi kuhusu mahitaji mahususi ya rilei.

Nadhari ya kiufundi

Jinsi ya kuchagua mtoaji mzuri wa upangishaji, ni aina gani ya AS na anuwai ya Mfumo wa Uendeshaji.

Usanidi wa kiufundi

Jinsi ya kusanikisha na kusanidi kila aina ya rilei: kiungo, ulinzi, kati na kutoka.

Jumuiya na vyanzo vya kisheria

Jinsi ya kujihusisha na jumuiya ya waendesha relay za Tor, kushauri juu ya majibu ya malalamiko ya unyanyasaji, na jinsi ya kuanzisha shirika litakalojihusisha na uendeshaji wa relay.

Kupata msaada

Jinsi ya kupata usaidizi ukikumbana na maswala

Governance

The processes and policies that govern relays on the Tor network.

Tor's Threat Model

How we mitigate threats to Tor

Jihusishe na waendeshaji wa rilei wengine

Rasilimali bora kuliko zote ni jumuiya hai ya waendeshaji wa rilei kwenye orodha ya barua pepe ya rilei za tor na kwenye IRC #rilei za tor katika irc.oftc.net.

Orodha ya barua ya waendeshaji wa rilei